TINAH FIERCE APONDA UVAAJI WA SPICE DIANA,ASEMA HAJUI KUPENDEZA.
Malkia wa umbea nchini Uganda Tinah Fierce amefunguka na kusema msanii Spice Diana hajui kabisa kupendeza kwani mara nyingi hata nguo anazovaa ni kama zimetundikwa tu mwilini mwake. Tinah Fierce anasema wapo watu wengine wana pesa nyingi nchini Uganda lakini suala la kuvaa kwao ni zero na kumtolea mfano Spice Diana kuwa ni moja ya […]
Read More