TIP SWIZZY AGOMA KUFANYA KOLABO NA WASANII WENZAKE
Msanii anayesuasua kwenye muziki nchini Uganda Tip Swizzy hataki tena kufanya kolabo na wasanii wengine baada ya kutimuliwa kwenye lebo ya muziki ya Big Talent Entertainment inayomilikiwa na Eddy Kenzo. Msanii huyo amesema aliwekeza miaka yake ya ujana kufanya kolabo na wasanii wenzake lakini mpaka sasa hazijamsaidia. Tip swizzy amedai hapokei tena mirahaba kutoka kwa […]
Read More