TIP SWIZZY AMPA ZA UZO EDDY KENZO, ADAI ALIMDHULUMU KIFEDHA.
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Tip Swizzy anaendelea kutupasha mpya kuhusu maisha yake chini ya lebo ya muziki ya Big Talent Entertainment inayomilikwa na Eddy Kenzo. Tip swizzy anasema anajutia kufanya kazi lebo hiyo kwa sababu hakufaidika na muziki wake. Msanii huyo amesema Eddy kenzo alimnyanyasa kwa kumlipa malipo duni licha ya kwamba alitumbuiza kwenye matamasha […]
Read More