Msanii Tipsy Gee Adai Wimbo Mpya wa Toxic Lyrikali Hauna Ubunifu

Msanii Tipsy Gee Adai Wimbo Mpya wa Toxic Lyrikali Hauna Ubunifu

Msanii anayesuasua kisanaa kutoka Kenya, Tipsy Gee, amemtolea uvivu rapa Toxic Lyrikali kwa kuuponda hadharani wimbo mpya wa rapa huyo uitwao “Euphoria.” Kupitia mitandao ya kijamii, Tipsy Gee ameonekana kutoridhishwa kabisa na ubora wa kazi hiyo, akisema kuwa wimbo huo haukidhi viwango vinavyotarajiwa kutoka kwa msanii ambaye sekta ya muziki inamtegemea. Tipsy Gee ambaye juzi […]

Read More
 Goddy Tennor Adai Kuwa Miongoni mwa Waanzilishi wa Miondoko ya Arbantone

Goddy Tennor Adai Kuwa Miongoni mwa Waanzilishi wa Miondoko ya Arbantone

Msanii na mtayarishaji wa muziki Goddy Tennor amedai kuwa yeye pamoja na wasanii wenzake Tipsy Gee, Soundcraft na Kappy ndio waanzilishi wa miondoko ya muziki wa Arbantone, mtindo unaozidi kushika kasi miongoni mwa vijana nchini Kenya. Akizungumza katika mahojiano maalum, Tennor alisema kuwa wazo la kuanzisha Arbantone lilizaliwa katika mazingira ya mtaa, likichochewa na haja ya […]

Read More