Drama Mpya! Tipsy Gee na Toxic Lyrikali Waendeleza Bifu Kali Mitandaoni
Tiktoker aliyegeukia muziki kutoka Kenya Tipsy Gee ameibua mjadala mitandaoni baada ya kumshusha wazi wazi Rapa Toxic Lyrikali, akimtuhumu kwa kujivunia views nyingi bila kuwa na ubora wa kweli kwenye muziki. Kwa mujibu wa Tipsy Gee, mafanikio ya kupata watazamaji wengi mtandaoni hayatoshi kuthibitisha kuwa msanii ndiye bora zaidi. Ametoa mfano wa wakali kama Bien […]
Read More