Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Todd Boehly ajiuzulu

Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Todd Boehly ajiuzulu

Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Todd Boehly ameripotiwa kujiuzulu wadhifa aliokuwa ameshikilia kikaimu kama msimamizi wa kutambua na kusajili wachezaji wapya katika timu hiyo. Mwaka jana baada ya kuinunua timu hiyo kutoka kwa bilionea wa Urusi Roman Abrahamovic, Boehly alijitwika jukumu la kuwa mkurugenzi wa kuangalia na kusajili vipaji vipya katika Chelsea na inadiwa kuwa […]

Read More