Tom Daktari Awakosoa Wasanii Wanaotumia Kifo cha Raila Kutafuta Kiki
Mchekeshaji wa Kenya, Tom Daktari, ameonyesha masikitiko yake kwa baadhi ya wasanii nchini humo wanaotumia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, kujitafutia umaarufu na kiki mitandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tom Daktari ameeleza kushangazwa na namna ambavyo baadhi ya wasanii wamegeuza maombolezo kuwa fursa ya kupata views kwenye YouTube kupitia […]
Read More