RAPA TORY LANEZ HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 23 JELA

RAPA TORY LANEZ HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 23 JELA

Mwaka mmoja baada ya kukanusha mashtaka ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, Mwanamuziki Tory Lanez amegoma kuingia makubaliano na waendesha mashtaka kwenye shauri hilo ambalo Tory anadaiwa kumpiga risasi mbili za mguu Megan Thee Stallion mwezi Julai mwaka wa 2020. Kwa mujibu wa Rolling Stone, Tory Lanez atatakiwa kufika mahakamani Disemba 14, 2021 kutoa ushuhuda […]

Read More