DAKTARI KWENYE KESI YA TORY LANEZ ATHIBITISHA MEGAN THEE STALLION KUKATWAA NA VIOO

DAKTARI KWENYE KESI YA TORY LANEZ ATHIBITISHA MEGAN THEE STALLION KUKATWAA NA VIOO

Daktari amethibitisha kwamba Megan Thee Stallion hakupigwa risasi mguuni kama anavyodai bali alikatwa na vioo kwenye tukio ambalo linamtaja Tory Lanez kumpiga risasi. Uchunguzi umebainisha kwamba baada ya kutokea vurugu baina ya washkaji ambao walikuwa pamoja nao kwenye gari, zilipigwa risasi kadhaa ambazo zilivunja vioo vya gari na wakati Megan Thee Stallion akijitahidi kutoka nje […]

Read More