YouTube Kuondoa Ukurasa wa Trending, Mabadiliko Kuanza Julai 21
Jukwaa kubwa la kushiriki video duniani,YouTube, limetangaza kuwa litaondoa rasmi ukurasa wake wa Trending kuanzia Julai 21. Hatua hii ni sehemu ya mabadiliko yanayolenga kuboresha namna watumiaji wanavyogundua maudhui mapya na yanayovuma. Kwa muda mrefu, sehemu ya Trending imekuwa ikionesha video maarufu zinazopata watazamaji wengi kwa kipindi kifupi. Hata hivyo, YouTube imeamua kuachana na ukurasa […]
Read More