Trey Songz Akamatwa kwa Kumpiga Mfanyikazi wa Klabu ya Usiku New York
Msanii wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz, ameripotiwa kukamatwa na maafisa wa usalama kufuatia tukio la vurugu lililotokea katika klabu moja ya usiku jijini New York City. Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa katika mahakama ya jinai ya Manhattan, tukio hilo lilitokea Desemba 4 katika Dramma Night Club, eneo la Times Square. Trey Songz na kundi […]
Read More