Vybz Kartel avunja ukimya baada ya kufutwa kwa onyesho lake nchini Trinidad

Vybz Kartel avunja ukimya baada ya kufutwa kwa onyesho lake nchini Trinidad

Msanii nguli wa muziki wa dancehall kutoka Jamaica, Vybz Kartel, amevunja ukimya kufuatia kufutwa kwa onyesho lake lililokuwa limepangwa kufanyika leo katika One Caribbean Festival nchini Trinidad. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, msanii huyo mashuhuri wa dancehall alieleza kuwa licha ya kutoa ushauri mara kadhaa kwa waandaaji wa tamasha hilo kuhusu hatua muhimu zinazopaswa […]

Read More