Asili ya Trio Mio Yafichuliwa: Ni Mluya wa Kakamega

Asili ya Trio Mio Yafichuliwa: Ni Mluya wa Kakamega

Mama mzazi wa rapa chipukizi anayevuma nchini Kenya, Trio Mio, amefichua kwa mara ya kwanza kwamba mwanawe ni Mluya kutoka Kaunti ya Kakamega. Taarifa hiyo imeweka wazi mjadala wa muda mrefu kuhusu chimbuko la kijana huyo maarufu katika tasnia ya muziki. Kupitia Instagram live, mama yake Trio Mio alisema kuwa japo watu wengi walidhani mwanawe […]

Read More
 Mama mzazi wa msanii Trio Mio amkingia kifua kwa madai ya kufeli mtihani wa KCSE 2022

Mama mzazi wa msanii Trio Mio amkingia kifua kwa madai ya kufeli mtihani wa KCSE 2022

Mama mzazi wa msanii Trio Mio, Irma Sofia amepuzilia mbali madai yanayotembea mtandaoni kuwa mwanaye alipata alama ya D kwenye mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE. Kupitia mitandao yake kijamii mwanamama huyo amemkingia kifua mwanaye kwa kusema kuwa hitmaker huyo wa “Cheza Kama Wewe” alifanya vizuri kwenye mtihani huo na anajivunia matokeo yake. […]

Read More
 Trio Mio afunguka kupotea kimuziki baada ya shule

Trio Mio afunguka kupotea kimuziki baada ya shule

Msanii Trio Mio amewajibu mashabiki zake ambao wanatilia shaka uwezo wake wa kuachia nyimbo kali baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha nne. Kwenye mahojiano na Vicent Mboya amesema madai hayo hayana ukweli wowote kwa kuwa shule ndio ilikuwa kizingiti kwenye suala la kuachia nyimbo mfululizo, hivyo anaamini kuwa kukamilisha kwake masomo kutamsaidia kuelekeza […]

Read More
 Trio Mio atangaza hali ya hatari kwa wasanii baada ya kuchukua mapumziko kwenye muziki

Trio Mio atangaza hali ya hatari kwa wasanii baada ya kuchukua mapumziko kwenye muziki

Rapa anayekuja kwa kasi nchini Trio Mio amechukua mapumziko mafupi kwenye muziki wake kwa ajili ya kujiandaa kukalia mtihani wake wa kitaifa wa kidato cha nne. Rapa huyo amethibitisha hilo kupita ukurasa wake wa twitter ambapo ametoa angalizo kwa wanamuziki wenzake kujipanga kisanaa la sivyo akirejea mwakani atawaonyesha kivumbi kwenye tasnia ya muziki. Hata hivyo […]

Read More
 SSARU AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA TRIO MIO

SSARU AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA TRIO MIO

Female rapper kutoka Kenya Sylvia Ssaru ameibuka na kukanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na msanii mwenzake Trio Mio. Hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa na ukaribu katika siku za hivi karibuni toka walipoachia ngoma ya pamoja iitwao “Kichwa tu” ambayo wamemshirikisha Timmy Tdat. Akijibu swali la shabiki yake […]

Read More