Flaqo Azima Uvumi wa Mapenzi na Trish Khalid
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Flaqo Raz, amekanusha madai ya kuwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji na mrembo maarufu Trisha Khalid. Kupitia mahojiano aliyofanya hivi majuzi, Flaqo alieleza kwa uwazi kuwa madai hayo hayana ukweli wowote. βItβs a lie, it never happened,β alisema Flaqo kwa msisitizo, akijibu uvumi uliokuwa ukienea mitandaoni kuhusu uwepo wa […]
Read More