Mwanamuziki wa Congo Tshala Muana afariki Dunia
Mwanamuziki nguli kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo TshalaMuana amefariki dunia leo Jumamosi, Disemba 10 mjini Kinshasa. Mwenza wake aitwaye Claude Mashala amethibitisha taarifa za Kifo cha Mwanamuziki huyo kupitia ukurasa wake wa Facebook. Kwenye post hiyo, Mashala hajatoa sababu za Kifo cha Tshala Muana ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 64. “Mapema asubuhi […]
Read More