PICHA MPYA ZA TUPAC ZAZUA GUMZO MTANDAONI

PICHA MPYA ZA TUPAC ZAZUA GUMZO MTANDAONI

Aliyekuwa rapa kutokea Marekani, Tupac Amaru Shakur aliyefariki mwaka 1996, amezua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya picha zake kusambaa. Watu wengi wamehoji iwezekanaje picha za rapa huyo aliyefariki miaka 26 iliyopita, kuonekana na ubora zaidi kushinda hata baadhi ya picha za watu mbalimbali ambao bado wapo hai. “Picha za Tupac zina ubora […]

Read More