Twitter yafanya mabadiliko katika sehemu ya search
Twitter imefanya mabadiliko katika sehemu ya search. Sasa hivi unaweza kuona thamani ya hisa na cryptos katika sehemu ya Search. Mfano ukitaka kutazama thamani ya hisa za Apple kwa sasa unaweza kuandika $aapl au $AAPL na utaona thamani ya hisa za Apple kwa ripoti ya siku. Inaonekana unaweka $ kama ukitaka kuona thamani ya hisa […]
Read More