Ureno Yatwaa Ubingwa wa UEFA Nations League 2025 Baada ya Kuichapa Uhispania kwa Penalti
Timu ya taifa ya Ureno imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Nations League 2025 baada ya kuishinda Uhispania kwa mikwaju ya penalti 5-3 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika muda wa kawaida na wa nyongeza. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika Uwanja wa Olimpiki jijini Berlin, Ujerumani, na ulihudhuriwa na mashabiki zaidi ya 70,000. Ureno ilianza […]
Read More