Ufaransa yatinga Fainali Kombe la Dunia 2022
Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Dunia timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuwazaba 2-0 Morocco Theo Hernandez wa ufaransa alipachika bao la kwanza katika dakika ya 5 ya mchezo huo huku mshambuliaji Randal Kolo Muani akipachika bao la pili na kufunga kitabu cha magoli katika dakika […]
Read More