Ykee Benda awatambulisha wasanii wa UgaBoys kwenye lebo yake ya Mpaka Records
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Ykee Benda amewatambulisha wasanii wa kundi la Ugaboys katika lebo yake ya muziki ya Mpaka Records. Katika mkao na wanahabari Ykee amesema ameingia ubia wa kufanya kazi na wasani wa UgaBoys kwa ushirikiano na lebo ya muziki yenye makazi yake nchini Norway, Sundance kwa ajili ya kutanua wigo wa muziki wa […]
Read More