Eddy Kenzo Ataka Mazungumzo ya Amani na Azawi Kuondoa Mvutano wa Kisiasa
Msanii maarufu wa Uganda na Rais wa Umoja wa Wasanii (Uganda National Musicians Federation), Eddy Kenzo, ametangaza nia ya kuanzisha mazungumzo ya wazi na msanii mwenzake Azawi, ili kutatua tofauti zao za kisiasa ambazo zimeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki na wanamuziki nchini humo. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kenzo amesema kuwa tofauti […]
Read More