Kenya Kuandaa Fainali za CHAN 2025 Kasarani

Kenya Kuandaa Fainali za CHAN 2025 Kasarani

Kenya imepata nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali ya makala ya nane ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani (CHAN), itakayochezwa tarehe 30 Agosti 2025 katika Uwanja wa Kimataifa wa Moi, Kasarani. Hii ni mara ya kwanza kwa Kenya kuwa mwenyeji wa fainali ya mashindano haya ya kipekee barani Afrika. […]

Read More
 Diamond Aonyesha Heshima kwa Jose Chameleone, Ataka Ushirikiano wa Mwaka

Diamond Aonyesha Heshima kwa Jose Chameleone, Ataka Ushirikiano wa Mwaka

Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametangaza nia yake ya dhati ya kushirikiana na msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, katika wimbo mpya unaotarajiwa kutoka mwaka huu. Akiwa jukwaani katika tamasha la Coffee Marathon huko Ntungamo, Uganda, Diamond aliwajulisha mashabiki kuwa kolabo hiyo ni ndoto aliyokuwa nayo kwa muda mrefu, na sasa anafanya kila juhudi […]

Read More
 Azawi Afichua Kuwekeza Milioni 24 Kurekebisha Meno

Azawi Afichua Kuwekeza Milioni 24 Kurekebisha Meno

Mwanamuziki wa Uganda, Azawi , amefunguka kuhusu uwekezaji mkubwa alioufanya kuboresha tabasamu lake, baada ya kupata mafanikio makubwa chini ya lebo ya Swangz Avenue. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji wa YouTube, Kasuku, Azawi alieleza kuwa alitumia kiasi cha shilingi milioni 24 za Uganda (UGX) kurekebisha tatizo la meno lililosababishwa na ajali aliyopata alipokuwa katika umri […]

Read More
 Fik Fameica: Pallaso Ni Shabiki Tu, Si Mlezi Wangu Kimuziki

Fik Fameica: Pallaso Ni Shabiki Tu, Si Mlezi Wangu Kimuziki

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Fik Fameica amevunja ukimya na kukanusha vikali madai ya msanii mwenzake Pallaso, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akidai kuwa alihusika pakubwa katika kukuza safari yake ya muziki. Hii ni baada ya Pallaso kudai kuwa alimtoa Fik Fameica kwenye mitaa ya Kawempe, na kumtambulisha kwenye muziki, na hata kumsaidia kifedha alipokuwa anaanza […]

Read More
 Azawi Kutumia Muziki Kupaza Sauti za Waganda Walionyimwa Haki

Azawi Kutumia Muziki Kupaza Sauti za Waganda Walionyimwa Haki

Mwanamuziki wa Uganda, Priscilla Zawedde maarufu kama Azawi, ameweka wazi dhamira yake ya kutumia muziki kama chombo cha kupaza sauti dhidi ya dhuluma na ukosefu wa haki nchini mwake. Hii ni baada ya takriban miaka miwili ya kuikosoa serikali hadharani kupitia majukwaa mbalimbali. Katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini Uganda, Azawi alieleza kuwa […]

Read More
 Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Mwanamuziki maarufu na mwanasiasa chipukizi, Nina Roz, ameibua mjadala mpya katika tasnia ya muziki nchini Uganda baada ya kufichua sababu zilizomfanya kujiondoa kwenye Shirikisho la Kitaifa la Wanamuziki nchini humo (UNMF) Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni na vyombo vya habari, Nina Roz alieleza kuwa walibuni shirikisho hilo pamoja na  Eddy Kenzo kwa madhumuni ya kuwatetea […]

Read More
 Pallaso Aweka Wazi Msimamo Wake Kuhusu Siasa

Pallaso Aweka Wazi Msimamo Wake Kuhusu Siasa

Msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Pius Mayanja almaarufu Pallaso, amesema kwa sasa hana mpango wa kujiingiza kwenye masuala ya siasa, akisisitiza kuwa bado anajikita kikamilifu katika taaluma yake ya muziki. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni, Pallaso alieleza kuwa hajatimiza malengo aliyojiwekea katika muziki, na hivyo anataka kuyakamilisha kabla ya kufikiria kuchukua jukumu lolote […]

Read More
 “Warembo Wanapenda Mali, Sio Ndoa” – Msanii Chris Evans

“Warembo Wanapenda Mali, Sio Ndoa” – Msanii Chris Evans

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Chris Evans, ametangaza rasmi kuachana na wanawake warembo, akisema hawana nia ya dhati ya kuingia kwenye ndoa. Evans, ambaye amewahi kuhusishwa kimapenzi na mastaa kama Zanie Brown, Spice Diana, na Lydia Jazmine, amesema kwamba wanawake wengi warembo huwa wanavutiwa na mali na si kujenga familia. Mwanamuziki huyo anayefahamika kwa […]

Read More
 GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

Msanii kutoka nchini Uganda Grenade amefunguka siri ambayo imewafanya wanawake wengi nchini humo kumpenda bila sababu za msingi. Kwenye mahojiano na Galaxy FM Grenade amejitapa kuwa ana ujuzi wa kipekee linapokuja swala la kutumia ulimi wake kuwashawishi wanawake ambapo ameenda mbali zaidi na kujinasibu kuwa swala hilo limewafanya wanawake wengi nchini uganda kumzimia kimapenzi. Grenade […]

Read More