Argentina kukutana na Uholanzi robo fainali kombe la Dunia

Argentina kukutana na Uholanzi robo fainali kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuitandika Australia 2-1 katika mchezo uliokuwa wa kusisimua Nahodha Lionel Messi akiwa kwenye kiwango bora zaidi alipachika bao moja kabla ya Alvarez kutumia vyema makosa ya mlinda lango wa Australia kupachika bao la pili kwa Argentina […]

Read More