Malipo ya Diamond Yatikisa Uganda, Wasanii Aibua Mjadala Moto
Msanii mashuhuri wa Uganda, Allan Toniks, amezua gumzo mitandaoni baada ya kulalamikia hadharani kiwango kidogo cha malipo alichopewa kwa kushiriki tamasha moja nchini humo. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Toniks alifunguka kwa hasira kwamba alipewa chini ya dola 1,000, huku akishangaa serikali ya Uganda kutumia shilingi milioni 750 kumlipa staa wa Tanzania, Diamond […]
Read More