BREEDER LW ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA KUNDI LA UNCOJINGJONG
Baada ya kufanya vizuri na singo yake “Gin ama Whiskey” akiwa ameshirikiana na staa wa muziki nchini Mejja, Rapa Breeder LW amedokeza ujio wa kolabo nyingine akiwa na kundi la muziki linalokuja kwa kasi kwa sasa Uncojingjong. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Breeder LW amepost picha ya pamoja akiwa na wasanii wa kundi hilo ambapo […]
Read More