Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Mwanamuziki maarufu na mwanasiasa chipukizi, Nina Roz, ameibua mjadala mpya katika tasnia ya muziki nchini Uganda baada ya kufichua sababu zilizomfanya kujiondoa kwenye Shirikisho la Kitaifa la Wanamuziki nchini humo (UNMF) Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni na vyombo vya habari, Nina Roz alieleza kuwa walibuni shirikisho hilo pamoja naΒ  Eddy Kenzo kwa madhumuni ya kuwatetea […]

Read More