Mwanariadha Usain Bolt atapeliwa mabillioni ya pesa kwenye akaunti yake

Mwanariadha Usain Bolt atapeliwa mabillioni ya pesa kwenye akaunti yake

Mwanariadha anayeshikilia rekodi za dunia katika mbio za mita 100 na mita 200, Usain Bolt kutoka Jamaica anaripotiwa kupoteza mabilioni ya pesa kupitia ulaghai mkubwa. Kulingana na jarida la AFP, mamlaka inayosimamia fedha nchini Jamaica imeanzisha uchunguzi dhidi ya kampuni ya kuwekeza pesa ambayo Bolt alikuwa amewekeza pesa zake na ambazo zimeofiwa kutoweka kwa njia […]

Read More