Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi mbioni kupata mtoto wa pili

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi mbioni kupata mtoto wa pili

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi baada ya kuweka wazi wanatarajia kupata mtoto wao wa pili pamoja, na ni mtoto wa Kike, hatimaye wameamua kuonyesha ujauzito wa kijacho hicho ulipofikia. Wote wameshare video hiyo kupitia kurasa zao za Instagram. Aidha, wawili hao wameamua kufanya hivyo pia wakipromote na smash hit ya Rotimi akishirikiana na Nektunez iitwayo “Make You Say”. Link kwenye bio ya Rotimi. Itakumbukwa, wawili hao mtoto wao wa kwanza ni wa Kiume aitwaye Seven, walibarikiwa kumpata Septemba mwaka 2021

Read More
 VANESSA MDEE AZUNGUMZIA ISHU YA KUPATWA NA MSONGO WA MAWAZO BAADA YA KUJIFUNGUA

VANESSA MDEE AZUNGUMZIA ISHU YA KUPATWA NA MSONGO WA MAWAZO BAADA YA KUJIFUNGUA

Staa wa muziki wa Bongofleva, Vanessa Mdee amesema alipatwa na msongo wa mawazo baada ya kujifungua mtoto wake kwanza, Seven. Kwenye mahojiano na Podcast ya Swahili Nation Vanessa amesema msongo wa mawazo baada ya kujifungua ulimletea madhara licha ya sapoti kubwa anayopata kutoka mchumba wake, Rotimi. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Bambino” amesema kuwa watu wengi hawaelewi huzuni hiyo na labda wanapomwona mtandaoni akiwa na furaha hudhania kuwa ana furaha maishani mwake. Hata hivyo amewataka wanaume na hata kila mtu katika Jamii kukomesha unyanyapaa dhidi ya afya ya akili kwani kwa sasa anajaribu kupona na ana matumaini mambo yatakuwa sawa.

Read More
 VANESSA MDEE MBIONI KUONGEZA MTOTO WA PILI NA ROTIMI

VANESSA MDEE MBIONI KUONGEZA MTOTO WA PILI NA ROTIMI

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee ni kama amenogewa na watoto, baada ya kumpata mtoto wake wa kwanza (Seven Adeoluwa Akinosho) na Rotimi mwezi Septemba mwaka huu. Vee Money leo kupitia ukurasa wake wa Instagram,ametangaza matamanio yake ya kuongeza mtoto mwingine. Vanessa ameweka video ya Rotimi akimbebeleza mtoto wao huyo wa Kiume na kisha kuacha caption ambayo mwisho alimalizia kwa kusema “Baby number two loading” akimaanisha mtoto wa pili yupo njiani. Itakumbukwa kwenye moja ya mahojiano aliyowahi kufanya, Vee alinukuliwa akisema anatamani kuwa na watoto wawili.

Read More