Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi mbioni kupata mtoto wa pili
Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi baada ya kuweka wazi wanatarajia kupata mtoto wao wa pili pamoja, na ni mtoto wa Kike, hatimaye wameamua kuonyesha ujauzito wa kijacho hicho ulipofikia. Wote wameshare video hiyo kupitia kurasa zao za Instagram. Aidha, wawili hao wameamua kufanya hivyo pia wakipromote na smash hit ya Rotimi […]
Read More