VDJ Jones akanusha kuwakandamiza wasanii wa Jeshi Jinga

VDJ Jones akanusha kuwakandamiza wasanii wa Jeshi Jinga

Bosi wa lebo ya muziki ya Superstar Entertainment VDJ Jones amefunguka kuhusu madai ya kuvunja kundi la muziki wa Gengtone Jeshi Jinga. Kwenye mahojiano na Nicholas Kioko amesema madai ya kuinyanyasa kundi hilo kifedha hayana ukweli wowote huku akisema kuwa wasanii wa Jeshi Jinga wenyewe walishindwa kuachia muziki muzuri licha ya kutumia nguvu nyingi kuwatoa […]

Read More
 VDJ JONES AJIBU TUHUMA ZA KUWAIBIWA WASANII ZILIZOIBULIWA NA MSANII PARROTY

VDJ JONES AJIBU TUHUMA ZA KUWAIBIWA WASANII ZILIZOIBULIWA NA MSANII PARROTY

Dj maarufu nchini Vdj Jones amenyosha maelezo kuhusu madai yaliyoibuliwa na Parroty kuwa hajawahi walipa wasanii aliowashirikisha kwenye project zake.. Katika mahojiano na Plug tv Vdj Jones amesema madai hayo hayana msingi wowote kwa kuwa amekuwa akiwalipa wasanii wote aliowashikisha kwenye kazi zake kwa usawa DJ huyo ameenda mbli zaidi na kusema kwamba ameshangazwa na […]

Read More
 VDJ JONES AITAKA UDA KUMLIPA EXRAY KWA KUTUMIA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KWENYE KAMPEINI ZA KISIASA

VDJ JONES AITAKA UDA KUMLIPA EXRAY KWA KUTUMIA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KWENYE KAMPEINI ZA KISIASA

Dj maarufu nchini Vdj Jones ametoa wito kwa chama cha uda kinachoongozwa na Naibu Rais Dakta. William Ruto kumlipa msanii Exray kwa kutumia wimbo wake wa “Sipangwingwi” kwenye kampeni zao za kisiasa. Kwenye mahojiano na Plug tv, Vdj Jones ambaye pia mwanamuziki amesema ameumizwa sana na kitendo cha wanasiasa kutumia wimbo wa sipangwingwi kujitakia makuu […]

Read More