Google Yathibitisha Kutumia Video za YouTube Kuimarisha AI
Google imethibitisha rasmi kuwa inatumia video kutoka YouTube kama chanzo muhimu cha data katika kufundisha mifumo yake ya akili bandia, ikiwamo akili bandia zake za kisasa Gemini na Veo 3. Kwa mujibu wa Google, video hizi hutoa muktadha halisi wa lugha na tabia za binadamu, jambo linalosaidia mifumo ya AI kuelewa lugha kwa undani zaidi […]
Read More