Verckys Kiamuangana Mateta afariki dunia akiwa na umri wa miaka 78

Verckys Kiamuangana Mateta afariki dunia akiwa na umri wa miaka 78

Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Verckys Kiamuangana Mateta amefariki dunia huko Kinshasa akiwa na umri wa miaka 78. Verckys amefariki dunia baada kupatwa na maradhi ya kiharusi miezi kadhaa iliyopita. Mwanamuziki huyo ambaye alikuwa mkali wa kupuliza Saxaphon, ameacha watoto 32, huku wawili ambao ni Ancy na Daniel wakifuata nyayo zake katika […]

Read More