VICMASS LUODOLLAR AZUA GUMZO MTANDAONI KWA KUIKATAA SHOW YA LAKI 7 ZA KENYA
Rapa wa michano kwa lafudhi ya Dholuo Vicmass Luo dollar ameibuka na kujinasibu kuwa alilazimika kusitisha onesho lake lenye thamani ya shillingi laki saba za Kenya kwa sababu waandaji wa shoo hiyo waliandika jina lake vibaya kwenye bango la matangazo. Akipiga stori na Tuko Extra rapa huyo amesema promota wa onesho hilo aliandika jina lake […]
Read More