VICTOR KAMENYO AFUNGUKA KUHUSU SAKATA LA KUMPIGA MCHUMBA WAKE
Rapa Victor Kamenyo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu sakata la kumdhalilisha kijinsia mchumba wake Angora Akoragye ambapo wengi walihoji kuwa alikuwa anatengeneza mazingira ya kutangaza onesho lake lijalo. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni rapa huyo kutoka Uganda amesema anamheshimu sana mpenzi wake na kamwe hatokuja kumtumia kwenye masuala ya kiki kwani wamekuwa kwenye hatua […]
Read More