ALBUM YA GUARDIAN ANGEL “VICTORY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY

ALBUM YA GUARDIAN ANGEL “VICTORY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Guardian Angel anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Album yake ” Victory ” ambayo tayari ina takriban miezi miwili tangu itoke rasmi. Goods ni kwamba Album ya “Victory”  imefanikiwa kufikisha jumla ya Streams millioni moja kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa Boomplay Kenya. Album ya […]

Read More