YouTube Yaanzisha Sehemu Mpya ya Kuweka Thumbnail au Cover za Video
Kampuni ya YouTube imezindua kipengele kipya kinachoboresha jinsi watumiaji wanaweka thumbnail au picha ya jalada la video (cover) kabla ya kuchapisha kwenye mtandao huo maarufu wa kushiriki video. Kulingana na taarifa iliyotolewa na YouTube, sehemu hiyo mpya inaruhusu watayarishi wa maudhui kuona muonekano halisi wa thumbnail kwa ukubwa halisi wa skrini ya simu na kompyuta, […]
Read More