VIDEO VIXEN JACK CLIFF AACHIWA UHURU
Baada ya kutumikia kifungo cha miaka zaidi ya 7 jela nchini China kwa mashtaka ya kukutwa na madawa ya kulevya video vixen na x-girlfriend wa msanii Juma jux, Jack Cliff hatimaye ameachiwa uhuru. Wawili hao wamewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda kadhaa kabla ya mrembo huyo kukamatwa. Kwa mujibu wa Juma Jux baada […]
Read More