VIDEO 4 ZA MUZIKI ZA NADIA MUKAMI ZAFUTWA YOUTUBE
Video za muziki za msanii nadia mukami zimefutwa kwenye akaunti ya mtandao wa youtube ya msanii huyo. Ukitembelea kwenye akaunti ya youtube ya nadia mukami hautafanikiwa kuziona nyimbo zake kama maombi, Wangu, Radio Love na Kolo kutokana na kuondolewa na aliyezi-upload. Sanjari na hilo nyimbo za Nviiri the story teller Pombe sigara na […]
Read More