Google Yazindua Vids, Jukwaa Jipya la Kutengeneza Video
Google imezindua jukwaa jipya la kutengeneza video linaloitwa Vids, likiwa sehemu ya hatua zake za kuimarisha huduma kwa watumiaji wake katika uundaji wa maudhui ya kidijitali. Vids ni jukwaa linalotegemea teknolojia ya akili bandia (AI), na limetengenezwa mahsusi kuwasaidia watumiaji kuunda video kwa haraka, kwa urahisi, na kwa ubora wa kitaalamu hata bila kuwa na […]
Read More