OTILE BROWN APOTEZA ZAIDI YA VIEWS MILLIONI 190 YOUTUBE
Staa wa muziki nchini otile brown amepoteza zaidi ya views millioni 190 kwenye akaunti yake ya youtube mara baada ya nyimbo zake tano kufutwa kwenye mtandao huo na aliyezi-upload. Awali Otile brown alikuwa na zaidi ya views millioni 229 ila kwa sasa ana jumla ya watazamaji millioni 35. Nyimbo ambazo zilifutwa kwenye channel ya youtube […]
Read More