Vinka akanusha tuhuma za kufanya upasuaji wa kuongeza makalio
Mwimbaji wa Swangz Avenue Vinka bila shaka ni moja kati ya wasanii wa kike wenye muonekano mzuri kwa sasa nchini Uganda. Hata hivyo, hali hiyo haikuwa hivyo miaka michache iliyopita kabla ya kupata ujauzito na kujifungua mtoto wake wa kiume. Naam, kutokana na mabadiliko yake ya mwili ambayo hayakutarajiwa ikiwemo kuongezeka kwa ukubwa wa makalio […]
Read More