DIANA BAHATI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YA MUZIKI YA DIANA B ENTERTAINMENT
Mwanamitandao aliyegeukia muziki nchini Diana Bahati amemtambulisha msanii wake mpya wake mpya anayekwenda kwa jina la Vinny fleva. Kupitia ukurasa wake wa instagram Diana B amesema vinny flava atakuwa chini ya lebo yake ya muziki ya Diana B Entertainment ambayo itasimamia kazi zake zote za muziki huku akiwataka mashabiki zake wamkaribishe msanii huyo ambayo kwa […]
Read More