“Sihitaji Pesa, Nahitaji Fursa” – Msanii Visita Aomba Msaada wa Vifaa

“Sihitaji Pesa, Nahitaji Fursa” – Msanii Visita Aomba Msaada wa Vifaa

Msanii maarufu Visita, ambaye amewahi kung’ara kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya, ameacha wengi wakiwa na huzuni na mshangao baada ya kufichua changamoto kali za maisha alizopitia, ambazo zilimsukuma hadi katika hali ya msongo wa mawazo na kuishi maisha ya uraiani kwa muda. Akizungumza katika mahojiano ya kipekee na Obinna TV, Visita alisema maisha yalibadilika […]

Read More
 HITMAKER WA “MAPEPO” VISITA AFILISIKA KIUCHUMI, AOMBA MSAADA KWA WAHISANI.

HITMAKER WA “MAPEPO” VISITA AFILISIKA KIUCHUMI, AOMBA MSAADA KWA WAHISANI.

Msanii tajika nchini Visita ametoa wito kwa wahisani kumsaidia kifedha kwani amefilisika kiuchumi na hana mahala pakuishi. Akiwa kwenye moja ya interview visita amesema kwa sasa anaishi kwenye studio ya kurekodia muziki inayomilikiwa na rafiki yake mmoja. Hitmaker huyo wa Mapepo amesema alifurushwa kwenye  nyumba aliyokuwa akiishi kutokana na malimbikizi ya kodi aliyokuwa akidaiwa. Mwezi […]

Read More