YESE OMAN RAFIKI AKIRI KUUMIZWA N KITENDO CHA MSANII VIVIAN TENDO KUJIONDOA ROUTE ENTERTAINMENT

YESE OMAN RAFIKI AKIRI KUUMIZWA N KITENDO CHA MSANII VIVIAN TENDO KUJIONDOA ROUTE ENTERTAINMENT

Msanii na mwaandishi wa nyimbo kutoka nchini Uganda Oman Rafiki amefunguka na kudai kuwa aliumizwa na kitendo cha msanii Vivian Tendo kujiondoa kwenye lebo ya muziki ya Route Entertainment. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni Oman Rafiki amesema licha ya kuumizwa na kitendo cha mrembo huyo kumkimbia hatokataa tamaa ya kuwasajili wasanii wapya wenye vipaji […]

Read More