Muonekano mpya wa Vivian wazua gumzo

Muonekano mpya wa Vivian wazua gumzo

Mwanamuziki Vivian ametuonyesha muonekano wake mpya baada ya kuzinyoa nywele zote kichwani (Kipara). Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa ameamua kuja na muonekano wa kitofauti kama njia ya kukumbatia ukurasa mpya wa maisha yake siku chache baada ya kuthibitisha kupitia wakati mgumu mahusiano yake na mume wake Sam West yalipoingiwa na ukungu. Muonekano wa […]

Read More
 Sam West awataka watu kutoingilia mahusiano yake na Vivian

Sam West awataka watu kutoingilia mahusiano yake na Vivian

Siku moja baada ya Sam West kuthibitisha kuwa mahusiano yake na mwimbaji Vivian yameingiwa na ukungu, sasa mchekeshaji huyo ambaye anasusua kisanaa nchini ameibuka na mpya. Kupitia mitandao ya kijamii Sam West amewataka watu kutoingilia sana sakata la ndoa yake na Vivian kuvunjika kwani huenda wakabaki njia panda ikitokea wamefufua tena penzi lao. “Methali: Mambo […]

Read More
 Sam West athibitisha kuvunja kwa ndoa yake na Vivian

Sam West athibitisha kuvunja kwa ndoa yake na Vivian

Sam West amethibitisha kuvunjika kwa mahusiano yake na mwimbaji Vivian baada ya kudumu kwenye ndoa kwa muda wa takriban miaka sita. Kupitia ujumbe wa mafumbo aliouchapisha kwenye mtandao wa Instagram Sam West aamesema ameamua kuachana na mwimbaji huyo kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wake kwani angendelea kubaki kwenye mahusiano hayo huenda angepoteza maisha […]

Read More
 VIVIAN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

VIVIAN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Mwanamuziki nyota nchini Vivian ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Album hiyo inayokwenda kwa jina la Vivi the album ina jumla ya nyimbo 10 za moto huku ikiwa na kolabo 3 kutoka kwa wakali kama Kidum Kibido, Trio Mio na Sosuun. Album hiyo ambayo ina nyimbo kama Chachisha, good […]

Read More
 SOSUUN NA VIVIAN WASHAMBULIWA MTANDAONI KWA KUTUMIA KIKI KUTANGAZA NGOMA YAO MPYA

SOSUUN NA VIVIAN WASHAMBULIWA MTANDAONI KWA KUTUMIA KIKI KUTANGAZA NGOMA YAO MPYA

Mashabiki wa muziki nchini wamewatolea uvivu wasanii Vivian pamoja na Sosuun baada wasanii hao kuonekana kutumia kiki kutangaza kazi yao mpya ambayo itaingia sokoni hivi karibuni. Kupitia mitandao yao ya kijamii wawataka Vivian na Sosuun waache suala la kuendekeza kiki kwenye muziki wao na badala yake watoe muziki mzuri ambao utajiuza wenyewe. Aidha wameenda mbali […]

Read More