Vivianne adokeza kuja na EP yenye nyimbo za dini
Msanii kutoka nchini Kenya Vivianne yupo mbioni kuachia EP yake mpya ya nyimbo za Dini, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo tofauti na alivyozoeleka akiimba za kidunia. Akizungumzia ujio wa EP yake kwenye mahojiano na SPM Buzz, Vivianne amesema alikuwa na ndoto ya kutoa kazi yenye nyimbo za dini na anafurahi kuona anaenda kutimiza […]
Read More