FIFA yakataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky
Kuelekea fainali ya mchezo wa Kombe la Dunia Jumapili hii unaozikutanisha timu ya Taifa ya Argentina na Ufaransa, Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya mchezo huo kuanza, ichezwe video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani. Imeelezwa kwamba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliomba jambo hilo […]
Read More