Vybz Kartel Ashinda Tuzo 3 za EAEA Global Awards
Nyota wa muziki wa Dancehall kutoka Jamaica, Vybz Kartel, ameonyesha furaha na shukrani kwa mashabiki wake barani Afrika na eneo la Caribbean baada ya kushinda tuzo tatu kubwa katika hafla ya EAEA Global Awards. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kartel ameeleza kuwa ushindi huo ni heshima kubwa kwake na ni ishara ya kutambuliwa kwa kazi […]
Read More