VYPER RANKING AWAPA SOMO WASANII WA UGANDA KWA KUANIKA MIGOGORO YA KIFAMILIA MTANDAONI
Mwanamuziki wa Dancehall nchini Uganda Vyper Ranking amedai kwamba ni sio jambo la kingwana kwa wasanii kuanika mizozo ya familia zao kwenye mitandao ya kijamii. Katika mahojiano yake ta hivi karibuni msanii huyo wa lebo ya muziki ya Bantu Africa Entertainment amesema vitendo vya wasanii kuanika mitandaoni migogoro yao vitakuja kuwaathiri watoto wao siku za […]
Read More