WAHU KAGWI ALAMBA SHAVU LA KUWA BALOZI WA MORTEIN DOOM
Staa wa muziki nchini Wahu Kagwi amelapa dili nono la kuwa balozi wa Bidhaa za kuua mbu, Mortein Doom. Wahu ameshare habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram akieleza kwamba ana furaha kujiunga na familia ya Mortein Doom kwenye kampeini yao ya kukumaliza malaria iliyopewa jina la βPambana na Kutokomeza Malaria.β […]
Read More